Hatutazivumilia taasisi zitakazopokea misaada ya kifedha yenye masharti ya kusaidia mashoga na wasagaji"Amesema hayo Mh. Amon Mpanju, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria katika kongamano la watoa msaada wa kisheria lililoandaliwa na TANLAP