ZIARA YA KATIBU MKUU KWA WATOA MSAADA WA KISHERIA MKOANI ARUSHA NA MANYARA

Photos: 

Wanachama wa TANLAP waliotembelewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria ambapo walielezea changamoto wanazokutana nazo katika utoaji huduma ya msaada wa kisheria pamoja na kuelezea manufaa wanayopata kwa kuwa wanachama wa TANLAP pia kuridhishwa na jinsi mtandao huu wa TANLAP unavyowaunganisha watoaji huduma hiyo. Katika picha ni wanachama kutoka TAWLA ofisi za Arusha, AWLAHURIO, Scale of Justice na Paralegal wa Maroroni Arumeru.