+255 746 237 265

info@tanlap.or.tz

KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 27/11/2024

Maamuzi sahihi huanza na ushirika wako katika kampeni. Hakikisha unahudhuria mikutano ya kampeni kusikiliza sera za wagombea ili kupata kiongozi bora.

#WananchiTuamue
#uchaguzi
#UchaguziwaSerikalizaMitaa2024