Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP)

News

Post date: Wed, 12/12/2018 - 12:42
Comments: 0

Kwa sababu ya fursa ndogo za elimu na umiliki wa mali, wanawake wana nguvu ndogo za biashara ndani ya jamii, hali hii kwa upande wake ina athari katika nafasi yao ndani ya jamii - hawezi kupigana au kuzuia unyanyasaji wa ndani. #Siku16 #UsalamaWakeWajibuWangu - @UN_Women @NEDemocracy @FCSTZ @WiLDAFTz @USAID @FordFoundation @undptz @OxfamTz @freedomhouse @OpenSocietyEA @IrlEmbTanzania @SwedeninTZ @undptz @IrlEmbTanzania @SayNO_UNiTE @canadaembassy @LSFTanzania @humanrightstz @THRDCOALITION @Women @womenfund_tz

Post date: Wed, 12/12/2018 - 12:40
Comments: 0

As a result of less opportunities for education, property, women have less bargaining power within the household, which in its turn has an effect on their position within the household - they can't bargain against domestic violence #16Days #HearMeToo @un_women @NEDemocracy @womenfund_tz

Post date: Wed, 12/12/2018 - 12:39
Comments: 0

Tuna nyakati za kutisha ambazo wanawake na wasichana bado wanakabiliwa na unyanyasaji wa kijinsia. Nyakati za kukata tamaa zinahitaji maamuzi magumu. Uamuzi unapaswa kufanywa ili kukomesha tabia za unyanyasaji na siyo kukaa kimya. #Siku16 #UsalamaWakeWajibuWangu - @UN_Women @NEDemocracy @FCSTZ @WiLDAFTz @USAID @FordFoundation @undptz @OxfamTz @freedomhouse @OpenSocietyEA @IrlEmbTanzania @SwedeninTZ @undptz @IrlEmbTanzania @SayNO_UNiTE @canadaembassy @LSFTanzania @humanrightstz @THRDCOALITION @Women @womenfund_tz

Post date: Wed, 12/12/2018 - 12:37
Comments: 0

Word from TANLAP. #HearMeToo #Siku16 #UsalamaWakeWajibuWangu #HerSafetyMyResponsibility @UN_Women @NEDemocracy @FCSTZ @WiLDAFTz @USAID

Pages

Reach Us Today

Biafra/Kanisani, Bwawani Street
Plot No. 434/42, Along Kawawa Road Kinondoni
P.O. Box 33856
Dar es Salaam, Tanzania.
Tel:+255 22 2761806